Online Teachers Application System (Oteas) : OTEAS Tamisemi


OTEAS Tamisemi ajira za walimu, OTEAS ajira za walimu Tamisemi, OTEAS Tamisemi Login, Tamisemi OTEAS Register (Registration).

  
Find here the Tamisemi Online Teachers Application System (OTEAS) for the interested teachers  job seeker to access new teaching openings. It is a sophisticated system whereby all slots are made available for all qualified graduates and teachers. Tanzanian citizen have welcomed this move with open arms as people can access relevant data in real-time.


To apply these Jobs you need to register yourself to the

ONLINE TEACHERS APPLICATION SYSTEM -(OTEAS)

How to Register to the Online Teachers Application System -(Oteas).
1. Get The Applicant Registration Form which will appear as below
2. Click on “You don’t have Account? Click here to Create” and you will get the application form as below and fill it accordingly.

Start your application HERE

(if the link doesn’t work I personally advice you to use OPERA BROWSER)

Online Teachers Application System -(Oteas)
Teachers Application- OTEAS Tamisemi Login
Teachers Application- OTEAS Tamisemi Register
To see announcement CLICK HERE

Visit ajira.tamisemi.go.tz to access Tamisemi Online Teachers Application System (OTEAS) portal. You will be welcomed by the home page, whereby you can access all the current openings. Since it is your first application and you are not yet in the system, you need to register.

 INSTALL APP YA AJIRA YAKO BONYEZA HAPA

Post a Comment

275 Comments

 1. mtandao unasumbua jaman shida nini

  ReplyDelete
  Replies
  1. Watumiaji ni weng san system inalemewa. Ndiomaana inakua slow san

   Delete
  2. vijana wngi hatuna ajiratunaipambania hizo nafasi

   Delete
  3. kama wanajua mtandao wao ni hafifu kwa nn watese watu

   Delete
  4. This comment has been removed by the author.

   Delete
 2. na kwelihaifunguki kabisa yani

  ReplyDelete
  Replies
  1. Maisha wameyafanya kuwa magum sana tamisemi! Siyo kwa usumbufu huu

   Delete
  2. Anonymous9/09/2020

   Jalibu kutumia hii utanishukulu badae https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 3. Wadau wenzangu vipi huko system inafunguka?

  ReplyDelete
  Replies
  1. labda facebook ndo inafunguka tuu

   Delete
  2. acha kulisha watu matango pori

   Delete
 4. Yaan ni taabu tupu

  ReplyDelete
 5. KWANGU MBONA INAFUNGA FRESH TU AMNA TATIZO..!!!!
  MAMBO NI MOTOOOOOOOOOOO

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tunaomba link kaka maana Mimi najaribu lkn inaishia kutoa rangi tu

   Delete
  2. Dah! Hongera huku wenzio mambo meusi

   Delete
  3. Et, MAMBO NI MOTOOOOOOO!!! We baba weee!! Au muongo!!!

   Delete
  4. Tunaomba link kaka maana Mimi najaribu lkn inaishia kutoa rangi tu

   Delete
  5. Anonymous9/09/2020

   Unatumia device gan maana huku kwingine simu na PC inazingua

   Delete
  6. huyu alie sema mambo ni moto muuongo

   Delete
  7. Anonymous9/09/2020

   Jalibu kutumia hii utanishukulu badae https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
  8. Use google chrome kuwasaidieni

   Delete
 6. Jamani bado tuu mbona huku sielewi kwenu imefunguka?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   Jalibu kutumia hii utanishukulu badae https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 7. Jaribuni usiku, hapo mtakuta watumiaji wamepungua

  ReplyDelete
 8. Hv Kama ulishawahi kufanya application kwakutumia huu mfumo inawezekana kufungua account nyingine???

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndio inawezekana endapo hukumbuki nywila yako ya zamani, basi ni bora ufungue account mpya

   Delete
  2. Anonymous9/09/2020

   ttz hmn kinachofunguka,naangalia zangu tu maputo hapa.

   Delete
  3. Jalibu kutumia hii utanishukulu badae https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 9. system haifunguki kabisa nimehangaika tokea jana mpaka sa hizi bado
  nimeshakata tamaa.naona ajira hizi ni kwaajili ya watu wachache tu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Inawezekana kuomba upya

   Delete
  2. Hahaha! Umeonae, tusikate tamaa ngoja tupambane mpaka mwisho

   Delete
 10. Mtandao hata haupatikan duuh

  ReplyDelete
 11. jamani naomba kuulia kuna mtu aliefanikiwa kutuma maombi leo? maana mm nimeshindwa

  ReplyDelete
 12. server iko down sana jaribuni usiku kutakuwa na watumiaji wachache

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   ingekuw down kuna muda ingepatikana mbona...

   Delete
  2. mm nipo macho mpaka saa saba hii hakuna mang'azo ni maputo tu ya watoto ndo nacheza nayo

   Delete
  3. Namwingine nae anasubili ucku

   Delete
 13. anayejua solution ya tatizo hili plz!!
  nikilog in inafeli then napewa ujumbe "unauthorized user"

  ReplyDelete
  Replies
  1. bora yako,nitumie link na mimi nijaribu

   Delete
  2. Hili Ni tatizo la kitaifa, kuwa mpole kila kitu soon kutakua sawa

   Delete
  3. Tumia email na password zake itafinguka

   Delete
  4. Hata mm naambiwa unauthorized user

   Delete
  5. Hat mm imeniletea hivyo

   Delete
 14. Aisee, mfumo naona unatokota tu, sjui ndo ajira ziko jikon?.... Zaidi ya hilo naomba kufaham, nida wanafanyaje kuwasaidia watu kwa haraka kupata NIN? Maana kunawatu wanasifa 99, ispokuwa 1 tu, NIDA Jamaniii!! Nipeni jibu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kikubwa ni kwenda NIDA upate no tu inatosha

   Delete
  2. Shida ni kwamba, NIDA wanakwambia ukiisha kujiandikisha unaambiwa utapokea majibu ya utayari wa namba yako baada ya week 3, Nikiichungulia tarehe dirishani nako raha

   Delete
 15. tuombe MUNGU afugue mlango

  ReplyDelete
 16. Kwa hali hii ya mtandao naoni ndiyo maana dirisha la maombi wana lipa muda wa kutosha,yaani ntakomaa na maputo puto hayo ndani ya wiki 2 hizi na ita eleweka tuu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 17. Yan hapa nikuwa popo tu ndan ya wiki mbili hizi

  ReplyDelete
 18. mm naona ufumbuzi wa tatizo lipatikane

  ReplyDelete
 19. mtandao oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 20. Enter your comment...duuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 21. ict wa OR
  tamisemi wako wapi janiiiiiii

  ReplyDelete
 22. Jaman kuna aliefanikiwa leo maana link haitak hata kufunguka

  ReplyDelete
 23. Hii ni hatari inabidi tukeshe

  ReplyDelete
 24. Hii ni hatari inabidi tukeshe

  ReplyDelete
 25. Hahahaha mimi ndo kwanza nazinduka usingizini .

  ReplyDelete
 26. E BWANAA E NAENDELEA NA USAJILI MAMBO NI MAZUR SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA AJIRA KAM ZOTEEEEEEEEEEEEEEEEE

  ReplyDelete
 27. Duuuu hali in tete

  ReplyDelete
 28. HHAHAHAHAHAHAAHAHA

  ReplyDelete
 29. KUNA JAMAA HAPA ANATAKA AENDE TAMISEMI KWA MIGUU

  ReplyDelete
  Replies
  1. hahaha,,ni afadhali hata aende ili atafute cahnzo cha tattizo ,,na kupata ufumbuzi

   Delete
  2. vp jamani mtandao leo ukoje maana ata sielewi toka jana

   Delete
 30. MWAMININI MUNGU TUTAFANIKISHA TU. ILA UKITAKA KUPOTEZA VYOTE MWAMINI SHETANI NA MAWAKARA ZAKE.

  ReplyDelete
  Replies
  1. HAHAHAHAAA JAMAN MAMBO NI MEUSI KABISAAAAAAAA YAAN PAMOJA NA KUSUBIRI USIKU BADO MAMBO SIO POA. ACHA NIKAUPUNYUE TUUUU

   Delete
 31. Oyyyooo imefungukaaa amkenii acheni kulala

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ww jamaa acha masihala

   Delete
  2. Mungu ni wetu sote,tuvumilie giza nene ndo ishara ya mapambzuko

   Delete
 32. linki ipi mnatumia

  ReplyDelete
 33. mtamdao haufunguki kabisaaa

  ReplyDelete
 34. kalale utaomba hata tarehe 21 september

  ReplyDelete
 35. Huku MONDULI karibu na kambi ya jeshi mtandao uko active sana,kujeni

  ReplyDelete
 36. Anonymous9/08/2020

  ������

  ReplyDelete
 37. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 38. mh! hii app ni balaa, kuna mtu kafanikiwa jamani????

  ReplyDelete
 39. Nani kafanikisha atusaidie jamani. Mana naona mtandao ni mzito Sana hadi sasa hivi...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hata mimi hapa kakonko-kgm nimeshindwa, mtandao ni tatizo

   Delete
  2. operamini inafungua

   Delete
 40. Naona hali bado tete !

  ReplyDelete
 41. tunapenda digital,ila Tz bado,maana tunafanya kukesha hiv,

  ReplyDelete
 42. Naona marangi rangii tu

  ReplyDelete
 43. Duuuu kazi ipo kweli, tangu 8/9/2020 asubuhi nimefuatilia application mtandao ni shida hadi muda huu 9/9/2020 wa usiku saa 00:44 cjafanikiwa.Ngoja labda niamke saa 10 alfajiri

  ReplyDelete
 44. Naomba nisaidiwe link maana ninayoweka soielewi

  ReplyDelete
 45. JAMAN VP WADAU KUNA ALIYEKAMILISHA AU MTANDAO UMEKUBALI ASEME? NA NI BROWSER GAN ANATUMIA. MAANA NIMEJARIBU HADI SASA NOTHING DUU

  ReplyDelete
 46. Hali bado ni maputo tu sijui wengine huko

  ReplyDelete
 47. Oyoooooooooooo mambo tayar uku kishawakaaaaaaaaaaaaaa firee hiyooo!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 48. daaaaa mtandao unachotufanyia ni hatari

  ReplyDelete
 49. ME NASHANGAA KWAN NYIE BADO 2 MNAAPLAY ONLINE HII INSUE YA MCHANA JANA NALEO DU!!!!!!!

  ReplyDelete
 50. POLEN JAMAN ME TAYARI MAPEMA SANA

  ReplyDelete
 51. Ndugu zangu atakae fanikiwa kutuma Basi atutimize Link na sisi tuweze kutuma... Tusaifiane kwa hili jamabi

  ReplyDelete
  Replies
  1. bado usumbufuupo palepale ila sasa itabidi tuwe wavumilivu ,na tusije kata tamaa, yote yanawezekana hata kama tunaona giza tuu, tuombe kudra za mwezi Mungu tu.

   Delete
 52. hivi kama unamajina kwenye certificate inakuaje?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Yaani majina kivipi? tueleweshe hapo

   Delete
 53. Amkeni amkeni amkeniiiiiiiiii kumekucha OTEAS

  ReplyDelete
 54. Anonymous9/09/2020

  vp wadau mtandao umekubali kwenu.

  ReplyDelete
 55. Yaani nmejaza koote kasoro sehemu ya masomo mawili ya kufundishia panasumbua, nasubiri ikae sawa nkifanikiwa nitume

  ReplyDelete
 56. anayesema mtandao umekubali yupo serious au utani mbona hamna kitu ni maputo tuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Niko serious kaka isipokuwa hakuna sehemu ya masomo ya arts na baadhi ya sayansi hakuna pia nadhani watafanya marekebisho, attachment zote zimekubali kasoro hapo tu ndo nasubir kama pakikaa sawa nmalizie nitume

   Delete
 57. MHH sio kwa net hii

  ReplyDelete
 58. ikifikia hapa ndiyo huwa naamini nchi hii tumewapa watu wahuni sana

  ReplyDelete
 59. Japo system haipo vzur lakn watu bado wanakeshaa😅😅 that's believing

  ReplyDelete
 60. System inasumbua sana.... ila ukitumia baadhi ya Cm inakubali

  ReplyDelete
 61. Serikali irudishe mfumo wa zamani km n ajira tamisemi watoe majina direct ya wanufaika wa ajira sio huu mfumo wa sasa.

  ReplyDelete
 62. Jaman mm mbona nikifika kwenye kuweka birth certificate inacancel inaanza upy nakosea wap

  ReplyDelete
 63. Msaada jaman mbona nikiafika kuattach birth certificate inacancel inaanza upya

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   Tumia link hii https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 64. yaani ngoja niwaambie technical problem ni hivi ndugu zangu IT wetu hawajajua skills of computer na hasa kwenye suala la specification anahitaji nini wakati gani na yenye kiwango kipi. hii ndio shida inayosumbua sana IT wetu wanaweka computer ilimradi computer na wala si kuangalia vigezo vya computer inayohitajika kwa kazi gani. kwa mfano unawezakukuta computer wamayotumia tamisemi au server yao ina home compter specification yaani nammanisha specification yake ni ndogo sana kiasi ikibeba mzigo mzito inakuwa slow hii ndio shida kubwa au unaweza kukuta tamisemi IT hawana extendedserver sasa unawezaje kufanya kazi kubwa watu zaidi ya milioni alafuhuna computer powerfully? hiii ndio shida kubwa sana ngoja niwape mfano kidogoo. website ya yahooo tu peke yakeyake howm many people are visited to a day je umewahi kukutana na tatizo la kutopatikana kwa website ya yahoo siku nzinma, au hata mfano tulionao sasa nchini kwetu website ya necta baraza la mitihani tanzania how many secondary school snd primary school in all over the country wameaproad kwenye mfumo lakini you can at least open fast. sasa hii ndio technical inayosumbua hapa tamisemi laiti wangekuwa na server yenye uwezo mkubwa waalimu mnaoaply ni wachahe mnooo wala msingeweza kilelema hata kidogo. mimi binafsi naamini computer katika specification tu maana ia have arleady experience on this na nimefanya mwenye kama practial nikafanikiwa kabisa. asanteni Mungu awape uvumilivu tutavuka

  ReplyDelete
 65. Eti jamny barua ya maombi na vyeti tunaviscan kwa pamoja!msaada tafaddhali

  ReplyDelete
  Replies
  1. msisahau kabla ya ku attach vyeti na barua iwe kwa mfumo wa PDF

   Delete
 66. hadi leo mnacomplain hahhahaha tumieni operamini mm nmemaliza

  ReplyDelete
 67. Huu mtandao Jamani ni Tatizo Kubwa,Nimejaza na kumaliza kabla ya kusubmit....ikaniambia Congratulations you are application is completed! Maana yake nini maana Icon ya Ku-submit ilipotea ghafla....

  ReplyDelete
  Replies
  1. ni shida nimelala saa kumi ni Tamisemi tuu

   Delete
  2. Anonymous9/09/2020

   Tumia link hii https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 68. 🙌🙌TAMISEMI wametuweza sio kwa kulemewa hukuu kwa saver

  ReplyDelete
 69. Nisaidieni najaribu kufungua chrome inagoma kwangu nyie mnatumia ipi tafadhalo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Paul Juma9/09/2020

   Jalibu hii hapa mi imekubali na iko fasta https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 70. Jamani aliye na naomba ya customer care ya oteas anisaidie

  ReplyDelete
 71. Hahaha, mimi hata sina usemi wadau inabidi tu nitulie nikodoe macho maana sioni jipya kwenye net

  ReplyDelete
 72. tatizo la sever ndugu linasumbua wacha tusubiri

  ReplyDelete
 73. Jamny Mimi nascani vyeti lakin mb zinazid mbili nofanyaje mnosaidie jamany

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nenda kwenye computer yako,pale mahali pameandiwa resolution, weka 300 ,ikiwa iko 600 itazid hizo Mb,

   Delete
  2. Nenda kwenye computer yako,pale mahali pameandiwa resolution, weka 300 ,ikiwa iko 600 itazid hizo Mb,

   Delete
 74. Naona bado inasumbua sijui kwanini ama kuna mbinu nyingine tujuzane

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 75. Mm utazani tangazo halijatoka mana system inazngua cjaanza ata kimja

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 76. Ukimwamini mungu hakuna kinachoshindiksna mwombeni yesu atatushindia

  ReplyDelete
 77. Anonymous9/09/2020

  Linki hii iko fasta jalibu kwa wale wanaokwama maana huku wameongeza bandwith ili watu wengi waitumie kwa wakai mmoja https://bit.ly/3bEbfsm

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
  2. Ahsanteee tayariii

   Delete
  3. Kweli imekubali au utani wana

   Delete
 78. MUNGU MWENYEWE ATUSHINDIE KWA MUUJIZA WAKE TUPATE AJIRA.MTANDAO NI SHIDAAAAA

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous9/09/2020

   Jalibu kutumia hii utanishukulu badae https://bit.ly/3bEbfsm

   Delete
 79. Mwenye amepata changamoto ya password kugoma hats akireset?? Inashughulikiwaje?

  ReplyDelete
 80. kuna aliyefanikiwa kuingia kwenye syatem, please naomba link

  ReplyDelete
 81. Jamani aliyefanikisha kutuma Maombi tusaidiane, mtandao unasumbua

  ReplyDelete
 82. mtandao ni shida sana,

  ReplyDelete
 83. Duhh kweli ajira ni ishu 153 comments

  ReplyDelete
 84. Me nimesahau password niliyofungulia account kipindi like, nimejaribu kufungua new wananambia this account arleady exist. Sa sjui nafanyaje

  ReplyDelete
 85. wanunue mitambo mikubwa yenye nguu ya kuhudumia wananchi kwa ujumla. waige mitambo ya NECTA

  ReplyDelete
 86. Ndg wapenzi waombaji endelea kuenjoy maputo ya watoto hpo kwa mfumo wa tamisemi

  ReplyDelete
 87. Anonymous9/09/2020

  Server zinasumbua sana nawashauri mfanye usiku sana inaweza ikawa powa mana watu n wengi wanaoomba

  ReplyDelete
 88. uku mambo ni fireeeeeeeeeeeeeee wanangu dua kwambo mambo ni motooooooooooooooo

  ReplyDelete
 89. Nahisi Kama watudanganya tu

  ReplyDelete
 90. Toka asubuhi nipo mtandaoni sijafanikiwa hata

  ReplyDelete
 91. Mmh hatar sna wanamakusud yao huenda

  ReplyDelete
 92. Mmh hatar sna wanamakusud yao huenda

  ReplyDelete
 93. Jaman mm cjui nifanyaje...cjaanza chochote

  ReplyDelete
 94. mfumo umefunguka,ila unaseach sana,tena leo uko na afadhali kidogo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Vp uko jaman mtandao umekubali?

   Delete
 95. Bhang... kwa style hii ya network kukosea lazima. maana mtandao ukipatikana unajikuta unajaza kwa pressure ya kutaka kumaliza kabla ya mtandao haujakatika

  ReplyDelete
 96. wadau vipi kuna yeyote kafanikiwa huko

  ReplyDelete
 97. Aisee mimi huu mfumo siuelewi kabisa eti, maana napo login naambiwa Unauthirilized user.

  ReplyDelete
 98. Nenekamilisha ku apply ila nmegungua nine apply cheti c changu na kufanya vwe vwili vya watu tofauti, je nifanyeje nkitoe ambacho hakinuhusu ?

  ReplyDelete
  Replies
  1. hebu rudia vzr swali lako hata mm cjaelewa mpnz

   Delete
 99. Nmekosea
  Nime aplod cheti kisicho htajika.
  Na wamenambia application complete,congratulations
  Swali, je naweza kukiondoa nakuweka knacho hucka

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mimi nimekosea jina je tunaweza kuedit?

   Delete
  2. km hujasubmit unaweza edit

   Delete
 100. Hivi inawezekana kuedit jina Kama umeshasabmit maana mfumo unachanganya Hadi tunakosea

  ReplyDelete
  Replies
  1. hebu jaribu ndugu

   Delete
  2. jaribuni kueditinaweza ikakubal..lkn km umeshasubmit cdhan km inaweza kukubal

   Delete
  3. hv sehem ya submit ipo sehem gan? mm cjaiona mpk dkk hii

   Delete
 101. et ndugu somo la kufundishia linatakiwa moja?

  ReplyDelete
 102. nmemalza tangu tar 8 ucku ila cjaona sehem ya ku submit mpk sasa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Me mwenyewe nmemaliza Ila sijaona mahali pa kusubmit

   Delete
 103. mtandao unafunguka ila unaload hatar tuvute subira

  ReplyDelete
 104. mbona mtandao uko vizuri huku vijijini

  ReplyDelete
 105. System sio siri ipo slow Sana jamani.

  ReplyDelete
 106. najaribu ku login naambiwa service temporaly unavaillable hili swala limekaaje wadau

  ReplyDelete
 107. Anonymous9/10/2020

  mm naambiwa unauthorised jamani tatizo ninini kwa alie fanikiwa please

  ReplyDelete
 108. Anonymous9/10/2020

  nikiweka email na password na no za sim nikisave ina niambia unauthorised ni fanyaje wakuu tusaidiane

  ReplyDelete